Vikongwe Hawa Kutoka Marekani Wawa Binadamu wengine Watajwa Kudumu Zaidi kwenye Ndoa
Wanandoa John na Betar kutoka marekani wamekuwa binadamu wengine kutajwa kuishi Katika Ndoa Kwa muda mrefu bila kuachana Ndoa yao imedumu kwa miaka 81 baada ya kufunga ndoa tarehe 25 Nov 1932 Hii imekuwa ni ndoa nyingine iliyodumu kwa muda mrefu huku wanandoa hao wakiwa bado hai na afya nzuri... Read More →
