Msanii wa miondoko ya kizazi kipya Linex Ameomnyesha kufurahishwa na mtoto wake aliyeletewa akiwa na miaka minne tayari bila yeye kufahamu alikuwa na mtoto muda wote. Mtoto wa Linex Aliyekutana naye baada ya miaka Minne Amshare picha za mtoto wake kupitia mtandao wake wa Picha Instagram lakini akagoma kuongelea... Read More →
Makamu wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt. Bilal amewaongoza mamia ya Wananchi katika shughuli ya kuuaga mwili Drk. Sengondo Mvungi Aliyefariki Nchini Afrika ya kusini Juzi alipokua amelazwa kwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani na majambazi waliomvamia nyumbani kwake Dkt. Sengondo Mvungi Anatarajia kuzikwa... Read More →
MMOJA wa mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tatu na mbunge anayetoka Mkoa wa Tabora, anatuhumiwa kumbaka na kisha kutishia kumuua msichana yatima mwenye umri wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini Dar es Salaam. Waziri huyo (jina lake linahifadhiwa kwa sasa), ametoa tishio... Read More →
Baada ya Tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya nchini China Rapa Mahiri Wa Bedi ya Akudo Impact Wazee wa masauti Kanal Top, Uongozi Wa Bendi Anayoifanyia kazi wamelizungumza swala hilo Ambapo Meneja wa Bendi ya Akudo Impact, Ramadhan Pesambili, Novemba 14, mwaka huu Amesema kwamba wamepata taarifa za kushikiliwa kwa... Read More →
Mwili wa marehemu Dokta Sengondo Mvungi aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu uliwasili nchini Jana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na na tume ya mabadiliko ya katiba na upande wa familia, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam... Read More →
Miss Tanzania 2001 na Mwanamitindo wa kimataifa Millen Happiness magese Ametoa msaada wa kujenga vyumba vyumba vya shule na kugawa madawati katika shule ya msingi huko mtwara vijijini eneo a mji mwema. Hiyo ilikuwa ni ahadi yake tangu alipokuwa na taji la mrembo wa Tanzania kwa mwaka huo wakati akifanya... Read More →
Hivi ndivyo waumin wa Shia Katika Moja Ya Madhehebu katika dini ya Kiislam Walivyoazimisha siku ya Ashura ikiwa ni kumbukumbu ya kuuwawa kikatili Imam Hussein ambaye ni Mjukuu wa Mtume muhammad (S.A.W) Siku hii huadhimishwa kwa waumin wa Shia ambao wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia kwa kutembea... Read More →
Nchi Ya Angola ni moja ya nchi zilizojipatia uhuru wake toka katika koloni la wareno mwaka november 11, 1975 lakini ni nchi iliyomwaga damu sana kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwaka 2002. Nchi hiyo ni nchi yenye utajiri mkubwa sana wa Almas ikiongozwa na Rais José Eduardo dos Santos, kila November 11... Read More →
Dakta Sengodo Mvungi enzi za uhai wake Akiwa hospitali Habari ni zilizopo ni kwamba punde zinasema kwamba Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dakta Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark huko Afrika ya kusini alikokuwa akipata matibabu. Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani Oktoba 2... Read More →
Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam UDSM Akubaliwa ombi lake la kutaka kuonana na na Naibu Waziri Wa Mawasiliano Sayansi Na Teknolojia January Makamba alilomuomba kupitia mtandao wa tweeter Mwanafunzi Marwa Chacha aliyejitambulisha kuwa ni wa mwaka wa tatu kutoka UDSM alimuandikia ujumbe Naibu... Read More →