Mtangazaji Maarufu Kutoka Marekani Oprah Winfrey ameonyesha kuikubali lugha ya Kiswahili baada ya kupost Picha Akiwa ameandaa Chai kwa ajili ya kiburudisho cha siku ya juma pili. Oprah aliandika kupitia ukurasa wake wa Insta Gram ” CHAI READY FOR #SUPERSOULSUNDAY WITH @REALROBBELL ” Huku akionekana kushika kikombe cha Chai... Read More →
Msanii Wa Filamu Kutoka GollyWood/NollyWood VanVicker Amepata Ajali mbaya jana siku ya juma pili wakati anaelekea Kanisani Kupitia ukurasa wa FaceBook wa msanii mwenzie kutoka huko Inni Edo Ameshare story hiyo huku akiomba wapenzi na washabiki kuuombea Muigizaji huyo aliyepata ajali huku akisema kuwa Doctor Amesema Hali bado ni mbaya... Read More →
Pamoja na kujijengea Jina Yeye Mwenyewe Binafsi Alioyewahi Kutwaa Taji La mrembo Wa Tanzania Wema Abraham Sepetu na Mcheza Filamu Maarufu sana Tanzania Lakini pia Ni mtoto wa Kiongozi Ambaye Hakutegemea au Kuegemea Nafasi Ya Baba Ambaye alikuwa ni mtumishi Wa Serekali Ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Katika... Read More →
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Ni Miongoni Mwa Waliohudhuria Msiba wa Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa mambo ya Nje mwaka 1970 na pia Balozi wa Tanzania Nchini Urusi mwaka 1982 Balozi Isaac Abraham Sepetu Ambaye ndio baba mzazi wa Msanii Maarufi Wa Filamu Tanzania Wema Sepetu aliyefariki Jana kwa... Read More →
Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki jana kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu. Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa... Read More →
Mrembo Wa Tanzania na Mcheza Filamu wa Tanzania Wema Sepetu Amefiwa na Baba Mzazi Ambaye ia Aliwahi kulitumikia Taifa kama Balozi, Balozi Sepetu alikuwa amelazwa kwa miezi kadhaa hospitalini jijini Dar es Salaam kwamaradhi ya kiharusi na kisukari na mipango ya mazishi inafanyikia nyumbani kwa marehemu maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar. Balozi... Read More →
Mwanamitindo wa kimataifa Flavianna Matata Amezindua Rasmi Mradi Wake Wa Flavianna Matata Foundation Stationary kwa kugawa Vifaa katika shule ya msingi Minazini Iliyopo Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam Flav Ametowa vifaa vya Shule kama Madaftari na Pencils. Bonyeza Heading Kuona Picha za tukio Hilo Comments
Madaam Madaam Wema Sepetu Bila Kung’ata ng’ata maneno wakati anahojiwa na muandishi wa Gazeti la Amani kuhusu Habari zilizovuja kuwa Safai yake ya China ilikua mahsusi kwaajili ya kufanyia matengenezo ngozi yake (SURGERY) Amekiri huku akisisitiza ni kutokana na kashfa alizokuwa akimwagiwa na wabaya wake kuhusu uharibufu mkubwa wa ngozi... Read More →