Picha: Jinsi Rihanna Alivyoweka Historia Katika Tamasha Lake La “DIAMOND TOUR” Africa Kusini,Ainjoy Kupiga Picha na wanyama kwa kuwashika Kabisa.
Hivi ndivyo Tamasha la DIAMONDS WORLD TOUR la Rihanna Lilivyofana kule Jo’Burg South Africa Jumapili ya week End Iliyopita. Tamasha hilo limetajwa kati ya matamasha makubwa kuwahi kutokea katika Historia ya muziki na kwa mwanamuziki mdogo kama Rihanna Ku perform mbele ya ya watu Elfu 67’000 katika... Read More →
