Betty Boniface na Clara Noor kuiwakilisha Tanzania katika mashindano makubwa ya urembo Duniani
Betty Boniface ndio msichana aliyefanikiwa kushinda taji la Miss Universe Tanzania katika mashindano yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini. Mashindano hayo yalishirikisha jumla ya warembo 15 kutoka mikoa nane ya Tanzania Bara, Betty kufanikiwa kupata tiketi ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Miss Universe ya kimataifa yaliyopangwa... Read More →


