Rais wa Uhuru Kenyata wa Kenya Ametangaza siku tatu za maombolezo huku bendera zikipepea nusu mlingoti baada ya Shambulio La kigaidi lililotokea katika Mall ya WestGate juma mosi mchana na kusababisha Vifo vya watu kadha na majeruhi wengi. Rais Kenyata ametoa maamuzi hayo baada ya kutangaza kuwa vikosi vya usalama... Read More →
Khadija Mwanamboka Mbunifu wa mavazi na Balozi wa Oxfam Tanzania Aja na Mradi wake mpya aliouzindua hivi kariubuni utakaofahamika kama VVK-GROW-CAMPAIGN PROJECT Dhumuni la Campaign hii ni kuwainua wanawake wafanyabiashara wadogo wadogo wa chakula lakini pia kufuatilia shughuli zao na kuona ni jinsi gani wanaweza kufaidika na kilimo cha chakula... Read More →
Baada ya usaili wa kumtafuta mrembo wa kurithi taji la Miss Universe Tanzania kumalizika, kambi ya warembo kwa ajili ya kinyang’anyiro cha kumtafuta mrithi wa taji la Miss Universe Tanzania 2013 imeanza rasmi. Kambi hii ambayo imejumuisha warembo 15 kutoka mikoa nane ya Tanzania itakaa kwa muda wa wiki moja... Read More →
Ni katika Movie inayotarajia kutolewa hivi karibuni, Salha Israel aliyewahi kuwa mrembo wa Tanzania sasa ajikita kwenye Movie Ambapo Msanii wa Bongo Movie Ray Kigosi kupitia kampuni yake ya RJ Company yupo jikoni kutengeneza movie yake mpya ambapo amemshirikisha mrembo huyo huku Jacklin Wolper akionekana Star wa Movie hiyo Kama... Read More →
KAMPUNI ya Hakika Entertainment inatarajia kuonesha filamu zaidi ya 70 kutoka nchi 20 katika tamasha la pili lijulikanalo kama Arusha African Film Festival (AAFF 2013), kuanzia Novemba 25 hadi Desemba Mosi, jijini Arusha. Kwa mujibu wa Mratibu wa AAFF, Nasir Mohamed, maandalizi ya tamasha hilo yameanza na filamu 70 kutoka... Read More →
Hizi ni taarifa nyingine kutoka kwa wabongo waishio China kuhuisiana na msichana aliyewahi kuwa Miss Kiswahili Tanzania 2009 Rehema Fabian kukamatwa na madawa ya kulevya China. Taarifa hizi zimeenea miongoni mwa wabongo waishio china huku rafiki wa karibu na mrembo huyo walioomba kutotajwa majina yao wakisema mrembo huyo aliondoka kama... Read More →
Rais wa Marekani Mheshimiwa Barack Obama ametoa pongezi na sifa kwa Tanzania kwa kuwa miongoni mwa nchi chache duniani ambazo zimetia saini mkataba wa Ushirikiano wa Serikali Zinazoendeshwa kwa Uwazi ambao unalenga kujenga na kuendeleza nafasi ya taasisi zisizokuwa za Kiserikali katika utawala bora, uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa... Read More →
Hatimaye yule mbaya wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel aitwaye Yvonne Maximilian (22) amenaswa na kuhenyeshwa kortini kisa kikiwa ni kumpiga chupa mwigizaji huyo. Yvonne aliburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar baada ya kukamatwa maeneo ya nyumbani kwake Kinondoni-Manyanya. Habari za ndani kutoka kortini zilieleza kuwa... Read More →