Photos:East meets West Party, Ommy Dimpoz Birthday vilifanyika kwa pamoja Element
Tazama Picha namna ambavyo jipati la kukutanisha wana Afrika mashariki na Afrika magharibi lililoandaliwa na SK Intertainment wakishirikiana na Uniti Intertainment lilivyokuwa pale ksatika kiota cha Burudani Element Masaki Jijini Dar Es Salaam juzi Ijumaa Usiku , J Martin msanii kutoka Nigeria ambaye ameshiriki katika wimbo wa Ommy Dimpoz TUPOGO... Read More →
