Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_el(&$output, $item, $depth, $args) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array, $id = 0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_el(&$output, $item, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: call_user_func_array() expects parameter 1 to be a valid callback, no array or string given in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/class-wp-hook.php on line 298 Salma Msangi - I'm Me And Thats all I Can BeSalma Msangi
Teddy Kalonga (a.k.a TK), is a model/actress in Los Angeles, born and raised in Tanzania, East Africa. She has worked as a runway model, TV host, commercial actress, Blogger, a Mother, a Wife, An Entrepreneur, spokeswoman and beauty pageant coach. Great personality, long legs, and a beautifully innocent smile! Happy... Read More →
Wakati tunaringishia Vidole vyetu na vipete vya Tanzanite vya Gram mbili mbili wakati wa kuombwa uchumba sijui Lola Natasha Mchumba Wa Peter okoye kutoka kundi la Psquare yeye afanyaje hahahaha… nimekomaaaaaaaaaaaa Katika kuonyesha kuwa Wanamuziki hawa wamefanikiwa jana kupitia Ukurasa wake wa instagram Peter alitupia Picha ya zawadi ya Gari... Read More →
“Mkongwe huyu ananipenda jinsi nilivyo” Hayo ni maneno Ya Mwanamuziki Rihanna kupitia ukurasa wake wa Instagram Ambapo Kutwa nzima ya jana Rihanna alikuwa akipost Picha zake akiwa mtupu mbele ya Hadhara Huku Babu yake Mzaa mama Akishuhudia. Kumbuka kwako ikiwa haram kwa mwenzako Halali, waweza sema Laana Rihanna kumwaga... Read More →
TUME ya Kudhibiti UKIMWI nchini (TACAIDS) imesema mkoa wa Njombe unaongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya Virusi vya UKIMWI kwa asilimia 14.8 ikifuatiwa na Iringa kwa asilimia 9.1. Mkoa wa Mbeya unashika nafasi ya nne kwa asilimia tisa ukifuatiwa na Ruvuma (7.2), Shinyanga (7.4), Dar es Salaam (6.9) Rukwa... Read More →
Mwanariadha wa Kenya wa mbio za masafa marefu Irine Chebet Cheptai amekimbizwa hospitalini baada ya kuzirai katika mbio za uwanja wa Olimpiki. Cheptai ambaye alikuwa kuwa mmoja wa wanariadha walioshiriki katika mbio za mita elfu tatu alizirai muda mfupi baada ya kumaliza mbio hizo ambapo alimaliza katika nafasi ya kumi... Read More →
Jumapili iliyopita Mshiriki Wetu kutoka Tanzania Feza Alinusurika kuyaaga mashindani ya Big Brother The Chace baada ya kuokolewa na Kura Tatu tu akiwa amemzidi kwa kura moja mpenzi wake Oneil kutoka Botswana Ambaye alimpita kwa kura Mbili Tu hivyo kuwa na kura chache zaidi zilizomsababishia kuyaaga mashindano hayo, Bimp wa... Read More →
Home Deco Ni kipindi Kinachoandaliwa na Zaynab Gulam na team yake na kurushwa Channel Ten, kutokana na umahiri wa kazi zao ndio nilipowahitaji na mie wanipambie nyumba yangu kwa Rangi na jinsi ya upakaji wao. kipindi chao wanakubadilishia nyumba na kuipendezesha au hata kukupangia vixuri vitu na kukushauri nyumba yako... Read More →
Miongoni mwa Mastaa waliofturisha mwaka huu ni pamoja na Mrembo anayeshikilia taji la miss ilala kwa mwaka 2003 na msanii kutoka bongo movie Nargis Mohammed. Iftar hiyo iliyoandaliwa Nyumbani kwao maeneo ya Block 41 Jijini Dar Es Salaam ilihudhuriwa na marafiki zake wakaribu pamoja na familia yake ,Kwa kawaida Nargis... Read More →
Kasi ya kukamatwa kwa Watanzania wakiwa wamebeba dawa za kulevya nje ya nchi, imezidi kuchukua sura mpya baada ya kubainika kuwa maelfu ya Watanzania wanatumikia vifungo mbalimbali ikiwamo vifungo vya maisha nje ya nchi. China pekee mpaka sasa ina Watanzania 176 wanaotumikia vifungo katika magereza za nchi hiyo, huku asilimia... Read More →
Kampuni ya Glitz imeandaa Toto Part kwa ajili ya watoto wa Dar Es Salaam na vitongoji vyake inayotarajiwa kufanyika Art Gallery Iliyopo Mbezi Beach siku ya Eid Mosi Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam muandaaji wa tamasha hili Dennis Ssebo alisema kwamba hii ni mara ya nne... Read More →