Takwim:Asilimia 48.3 Ya watoto waliozaliwa sio watoto wa baba halisi.wengi wamebambikiwa
Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali nchini imesema karibu nusu ya watu waliojitokeza kupima vinasaba (DNA) ili kubaini uhalali wa watoto wao, vipimo vimeonesha si wazazi halisi wa watoto waliopimwa. Takwimu hizo ni kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2010, ikionesha kuwa, asilimia 48.32 ya wazazi ‘wanalea’ watoto... Read More →
