Mchezo unazidi kuwa mgumu kadri siku zinavyozidi kwenda sababu idadi ya wanaopaswa kuendelea na mchezo ndivyo inavyohitajika kuwa ndogo mpaka siku ya 91 atakapobaki mtu mmoja wa kukabidhiwa $300,000 kama zawadi ya BBA The Chase. Nominations za wiki hii zimewagusa baadhi ya washiriki ambao hawajawahi kabisa kupendekezwa kutoka, na wengine... Read More →
Mshiriki wa kwanza kuvunja amri ya sita ndani ya jumba la BBA amfuata mpenziwe nje. Baada ya Bety mshiriki kutoka Ethiopia aliyekuwa mpenzi wa Bolt kuliaga jumba la kaka mkubwa wiki iliyopita,hatimaye Bolt nae amfuata mpenzi wake,ikiwa watanzania Feza na Nando waliokuwa ndio viongozi wa nyumba waliombwa kuwataja waliowaokoa na... Read More →
Tukio la kumkabidhi Tuzo msanii bora wa kiume kupitia tuzo za kilimanjaro mwaka huu lilinihusu sana bada ya kutajwa kuikabidhi tuzo hiyo kwa mshindi husika kwa mwaka huu. Mshindi aliibuka msanii Diamond ambaye hakuwepo ukumbuni hapo kutokana na kutajwa kuwa katika usiku wa kinywaji cha Coka Cola kwa kuwa siku... Read More →
kazi imeaaza ndivyo tunavyoweza kusema kwa sasa. Ambapo ndege na Helkoper za kijeshi toka Jeshi la Marekani zimeanza kuwasili ikiwa ni maandalizi tu ya kuimarisha ulinzi na usalama kwenye ujio wa Rais Obama. Wakiongea baadhi ya maofisa wa Aripot walisema kuwa ” Ndege zimeanza kuingia hasa nyakati za usiku... Read More →
Ile kauli iliyomponza Msanii Ommy Dimpoz ilitokana na Risala yake ndefu aliyoitoa siku ya Tuzo Za kilimanjaro wakati anapokea tuzo moja wapo kati ya zile tatu alizochukua sikuhi… Inawezekana Kauli yake Hiyo ilitafsiriwa ndivyo sivyo ama sivyo ndio. Omary Nyembo au Ommy Dimpoz kama anavyofahamika zaidi anasemwa na baadhi ya... Read More →
Taarifa kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa 48 zilizopita. Baada ya kumtembelea hospitalini, mwanawe mkubwa wa kike Makaziwa, alisema hali inaonekana kuwa mbaya lakini akaongeza kuwa Mandela anaweza kuwasikia jamaa zake wanapomuita huku akijaribu... Read More →
Rais Barack Obama amewasili Senegal katika ziara yake ya wiki moja barani Afrika na anatarajia kuzuru Afrika Kusini na Tanzania akilenga kustawisha demokrasia na masuala ya uchumi. Hii ni ziara ya pili ya Obama barani Afrika tangu achaguliwe Rais mwaka 2008. Hata hivyo ziara yake inatarajiwa kufifishwa na hali... Read More →