Ssebo Wa Magic Fm Amhusia Ruge Kumpigia Magoti Lady Jay Dee
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika tuzo za KTMA, ni ishara ya mwanadada huyo kukubalika katika jamii.Mtangazaji huyo amesema kwamba Jaydee ni mwanamke mwenye uthubutu katika ... Read More →
