Big Brother Africa: Mtanzania kikangoni, Kura Za Watanzania Kumuokoa???
Kama ilivyo taratibu za mchezo wa Big Brother, kila mwanzo wa juma baada ya siku ya mtuano jumapili washiriki hupigiana kura za kutafuta nani wa kutoka kwa wiki inayofuata? leo zoezi hilo limefanyika huku Tanzania kupitia mshiriki wake Feza kuwa katika wakati mgumu baada ya mshiriki huyo kutangazwa kuwa Kikaangoni... Read More →
