SITAKI NYIMBO ZA ALBERT MANGWEA ZIPIGWE CLOUDS FM – P FUNKY
Staki kusikia nyimbo zote za marehemu ALBERT MANGWEAR alizorekodi BONGO REC zikipigwa CLOUDS FM kuanzia sasa. “Muda mfupi uliopita nilipokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anajulikana kwa jina la P Funk Majani na kuniomba nipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua... Read More →
