MCHEZA FILAMU WA HOLLYWOOD ANGELINA JOLIE AMEFANYA UAMUZI WA KUONDOA MATITI YAKE YOTE MAWILI BAADAYA KUGUNDULIKA KUWA NA VIMELEA VYA CANCER. UGOJWA HUO NI UGONJWA AMBAO UMESHASUMBUA FAMILIA YA ANGELINA JOLIE HISTORIA INAJIONYESHA NA HATA MAMA MZAZI WA ANGELINA ALIFARIKI NA UGONJWA HUO HUO KATIKA UMRI WA MIAKA 56. RIPOTI... Read More →
HIVI NDIVYO MWANAMITINDO WA KITANZANIA FLAVIANA MATATA ANAPOZIDI KUIPEPERUSHA BENDERA YA WATANZANIA KATIKA SOKO LA UANAMITINDO DUNIANI. MARA HII FLAV AMEONEKANA KATIKA MAVAZI YA MADUKA YA NGUO YA TRUWORTHS YA NCHINI AFRIKA YA KUSINI, HII INAASHIRIA KWAMBA UKIWA NA NIDHAMU NA KAZI NA NDOTO UTAFIKA HONGERA FLAVIANNA ... Read More →
WABUNGE wa CCM, jana walizua tafrani nje ya Ukumbi wa Bungebaada ya kukasirishwa na kitendo cha mwenzao wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy kupinga Bajeti ya Wizara ya Ujenzi wakati akichangia hotuba ya wizara hiyo. Katika mchango wake, Keisy alisema haungi mkono hoja kwa sababu Barabara ya Sumbawanga hadi... Read More →
*Yakatazwa shuleni, watoto chini ya miaka 12 *Sasa yabainika kuwa ina sumu inayoua taratibu *Yagundulika kupumbaza na kusababisha uteja SIKU chache baada ya gazeti la Mtanzania kuripoti madhara yanayosababishwa na kinywaji aina ya soda, katika utafiti wake gazeti hilo limebaini mengine mapya. Kwa mujibu wa utafiti huo, imebainika kuwa soda... Read More →
Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya mauaji na kujaribu kuua. Victor Ambrose Calist (20) ambaye ni dereva wa bodaboda na mkazi wa eneo la Kwa Mromboo... Read More →
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet itakayomfurashia. Not to fast though…… Sio tweet zile za ‘I’m having fun being single, #TeamSingle, tupa kuleee! Mengi anataka... Read More →
Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage…..Hemed... Read More →
MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo. … Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga.... Read More →
Produce wa Muziki wa kizazi kipya Man Water Anaomba watanzania mumpigie Kura katika Tunzo za Kilimanjaro Alizoingia katika kinyang’anyiro kingine tena kwa mwaka 2012/2013. Kwa kipindi kirefu sana Man Water amekua akiibgia katika kinyang’anyiro hiki cha nafasi ya Produce Bora wa mwaka lakini amekuwa hapati Tunzo, Sio kwa kigezo kwamba... Read More →
Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei. Hata hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana yake japo juhudi... Read More →