AHMAD MOHAMED ANASHIKILIWA NA POLISI KWA KOSA LA “KUVILAWITI VITOTO VYA SHULE”…NI MKAZI WA MWANANYAMALA JESHI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni linamshikilia Ahmad Mohamed Sharif (38), mfanyabiashara na mkazi wa Mwananyamala Msisiri ’A’ kwa tuhuma za kuwaingilia kinyume cha maumbile wanafunzi wanne wa darasa la nne wa Shule ya Msingi Misisiri ’A’. Ahmad amekuwa akiwaingilia kinyume cha maumbile wanafunzi hao katika kipindi cha mwezi... Read More →
