HUYU NDIO MSANII WA UGANDA AMBAYE AMEKAMATWA HUKO JAPAN KWA TUHUMA ZA KUPATIKANA NA DAWA ZA KULEVYA
Huyu ndio Iryn Namubiru, mwanamuziki kutoka nchini Uganda ambaye ameripotiwa kukamwatwa huko nchini Japan kutokana na tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya. Ripoti zinaweka wazi kuwa, Iryn alienda nchini humo kwaajili ya kufanya show Jumamosi iliyopita, Tarehe 4 huko Tokyo, Yotsukaido Cultural Hall, na hadi dakika ya mwisho... Read More →
