Raisi Wa Jamhuri Ya watu Wa China Aanza Ziara Ya Kihistoria Nchini Leo
Rais wa Jamuhuri ya watu wa China Xi Jinping (pichani) ameanza ziara ya kihistoria nchini tangu kuapishwa kwake kuitumikia nchi hiyo ambapo katika ziara hiyo atasaini mikataba 17 ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Serikali za Tanzania na nchi hiyo. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Waziri... Read More →
