Weka Condom Mpangoni: Tangazo Lilozuiwa Katika Vituo Vya Television Nchini Kenya
Tangazo moja linalowaonesha akina mama wawili wakiwa gulioni limeondolewa kwenye vituo vya televisheni nchini Kenya baada ya kulalamikiwa na viongozi wa dini. Katika tangazo hilo (ambalo limepachikwa hapo chini) mwanamke mmoja anamwuliza mwenziye kuhusu mahusiano yake na mumewe na kujibiwa kuwa mume amekuwa mlevi siku za hivi karibuni na anashinda... Read More →
