Habari njema kwa Wanawake Wasiopata Mimba kutoka Kairuki.
Hospitali ya Kairuki imesema inajiandaa kujenga kituo cha kisasa kwa ajili ya kutoa huduma kwa kina mama zikiwamo za wanawake wasiopata mimba na hivyo kuwazalisha kwa kutumia chupa. Hatua hiyo ni sehemu ya mipango ya baadaye itakayotelekezwa na hospitali hiyo ambayo kesho itaadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake na muasisi... Read More →
