Wanasayansi wa Chuo kikuu cha Mississippi Medical Center cha nchini Marekani amekiambia chombo cha habari cha CNN kuwa mtoto aliezaliwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi Amepona baada ya kumpatia matibabu kwa mwaka sasa na kwamba baada ya kumfanyia vipimo anaonekana kupona kabisa. Mtoto huyo alipata maambukizi toka kwa mama... Read More →
Ommy Dimpoz Akiwa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere aliporeje leo mchana toka Moshi aliposhiriki Kibirudani katika Mbio za Kilimanjaro Marathon. Ommy anatua leo Dar tangu alipoondoka kuelekwa Uingereza alipokua na ziara ya kimuziki, kwani ilimbidi kurudia uwanja wa ndege qa Kia ili aweze kuhudhuria Mbio hizo za kilimanjaro Marathon.... Read More →
Malkia wa uingereza, Elizabeth wa Pili Amelazwa hospitalini kwa ajili ya uchunguzi kufuatia kusumbuliwa na maradhi. Taarifa zinasema kutokana na kufanyiwa uchunguzi huo kwenye hospitali ya Mfalme Edward wa Saba, Malikia Elizabeth mwenye umri wa miaka 86 amesitisha shughuli zake kwa juma hili ikiwa ni pamoja na kuahirisha ziara yake... Read More →
Kina mama wakiserebuka ukumbini Shamim akiwa na Mgeni Rasmi mke wa Waziri mkuu Mama Pinda na wageni wengine Mish Bomba kushoto ndo alikua mshehereshaji siku hiyo na hakufanya ajizi hapo akiwa na shabiki wake Almaarufu mama Haineken Shammim akiwa na mpiga picha kutoka Ofc ya Waziri Mkuu Mama Asia Idarous... Read More →
Hapa Millen akipokelewa na wenyeji wake Mh.Ndile na Afisa elimu Manispaa ya Mtwara mama Florah Aloyce. Mwanamitindo mahiri wa kimataifa ambae pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2001, Millen Happiness Magese amewagusa wakazi wa Mtwara kufuatia ziara yake ya kimafanikio aliyoifanya mkoani humo na kukabidhi misaada mbalimbali. Millen ambae kwa sasa... Read More →
Mama 8020, Shamim, mama mwenye shughuli yake akiwa zuliani. Dina Marious Khadija Kopa, Noely na Sabah Salum May Charles igogo Wema akiwa na Rafiki Jamila aka Myler Mishie Bomba Mc wetu, Kazi nzuri mama Kaa tayari kwa Red Carpet. Comments
Huyu ndo yule mrembo kutoka Ghollywood alio chefuliwa vibaya na ujio wa Kim kardashian huko Ghana. Anaitwa Juliet ni mchanganyiko wa m Liberia na M Ghananian, huyu ndio mwanadada anaesifika kwa mvuto kwa sasa katika ukanda wa Afrika magharibi katika tasnia ya Filam. Amechukizwa na kitendo cha Bilionea mmoja huko... Read More →
Taarifa kuwa dereva wa taxi nchini Afrika Kusini alikufa kufuatia tukio la kufungwa pindu kwenye gari la polisi na kuburutwa mitaani. Polisi nchini humo imeanzisha uchunguzi kubainisha ukweli wa tukio hilo ambalo limetokea katika mji wa Daveyton mashariki mwa jiji la Johannesburg Taarifa za awali kutoka katika vyombo vya habari... Read More →