Jionee Jiji linalotembea Majini #ukistaajabu ya Musa….

Titanic Mpya kuizidi Allure???? Maana tumejionea mradi wa ujio wa pacha mwenzie na Titanic ilozama karne hizo za mbali tukitajiwa na bei ya ticket kuwa si chini ya bilioni 1.5, vipi? Itakua zaidi ya hii???? Sina hata haja ya kutaja wapi ni wapi picha zinajieleza hizo, alafu unajiita unala bata... Read More →