Hatimae Susan Goldie Harvey azikwa jana juma tatu.

Jana ndio ilikua siku ya kuupumzisha mwili wa marehemu Susan Goldie Harvey katika nyumba yake ya milele. Mazishi hayo ambayo yalikua ya kifamilia zaidi yalifanyika sehemu inaitwa Vaults and Gardens Cenetery huko Ikoyi Lagos. Na haya ndio maneno ya mwisho ya Mume wa Goldie Andrew Harvey’s kwa mke wake ”... Read More →