Kwa mahitaji yako ya Nguo za kisasa Viatu, mapambo, vipodozi Na Nguo za harusi kwa wanawake na wanaume tembelea Moreen Fashion iliopo SINZA KIJIWENI, duka linatazamana na Habari Co-operation Pia wanatoa ushauri wa namna ya kufanya harusi nguo gani uvae na kukufanyia order ya nguo zote na za wasimamizi. KARIBUNI... Read More →
Usikose kutazama mahojiano yangu na na 20% ijumaa hii jatika kipindi cha MusicXpress ya ChannelTen saa mbili kamili usiku. Alikua hana pa kutokea 20% akifunguka kuhusu ugomvi wake na Man water pamoja na mengine mengi Kitendea kazi Mosses Massenga aka Fundiiii, Producer na Editor wa kipindi. Comments
Katibu mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania (Necta), Dr Joyce Ndalichoko akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012. Mwanafunzi huyo amechora Picha ya Zombi akiwa hajavaa kandambili na kuandika maneno “zombi amesahau kuvaa viatu” Comments
Katika jarida hilo la Dujour kim amezungumzija juu ya uhusiano wake na anaetarajiwa kua mzazi mwenzie Kanye West lakini pia kazungumzia kuhusu kijacho Picha kwa hisani ya Bongo5.com Comments
Kupitia ukurasa wake wa BBM Bob Junior amewashukuru friends zake pamoja na fans wake wote kwa dua zao kwani amefika salama Bob yupo nchini humo kwa ziara ya kimuziki ambayo itamchukua kama miezi miwili hadi mitatu katika nchi za Finland, Italy, Germany, Denmark, Sweden, Norway, Swiss, Holand na sehemu nyingine... Read More →
Alexandra, Frank & my self at Chef’s Pride Frank and Alexandra ‘t Channel Ten studios Frank Home Upepo wa bahari ya hindi ukimpuliza mwanadada Alexandra katika mgahawa wa Karambezi Sea clif. Kwa kweli ilikua ni siku yao ya kwanza kuja Tanzania lakini wali enjoy sana. Watakua hapa kwa wiki tatu... Read More →
Mwanaume wa kizungu aitwaye Andrew Harvey, anayedai kuwa amemuoa msanii wa muziki nchini Goldie Harvey aliyefariki juzi usiku amejitokeza na kupost picha za ndoa na mahaba wakiwa pamoja. Andrew alishare picha hizo pia kwenye mtandao wa twitter na kuliambia gazeti la Nigeria Entertainment Today kuwa ana admin access za akaunti... Read More →
Mtoto Ivy akiwa na mumie Bey Hii ndio picha ya wazi kati ya picha nyingi za Ivy ambazo alikua akifichwa mara kwa mara. Me naona mtoto Ivy kafanana na baba yake sana tu mtu, mzima JayZ anaonekana alifanya kazi yake ilivotakiwa. Like dad like daughter Comments