Kansiime Anne Ashinda Tuzo Ya NAFCA “Favorite Comedian”
Nollywood & African People’s Choice Award wamemtangaza washindi wa tuzo hizo huku mchekeshaji kutoka nchini Kenya Anne Kansiime akiwa mmoja wa washindi. The Nollywood & African People’s Choice Awards ndio show kubwa pekee ya tuzo barani Afrika ambapo mashabiki ndio wanaoamua washiriki na washindi katika vipengele mbalimbali katika... Read More →