Kesi Iliyokuwa Ikimkabili Justin Bieber Ya Kumshambulia Dereva Wa Limo Yafutwa

Muimbaji na mwandishi wa nyimbo mkali kutokea Toronto Canada ambae siku za karibuni amekuwa akiandamwa na kesi kibao, ikiwemo ya kumsambulia dereva wa limo huko Toronto Canda mwaka jana mwezi Desemba imefutwa jana kutokana na kukosekana ushahidi uliostahili. Katika video iliochukuliwa na kamera, simu iliyopigwa ya 911 na polisi kuwahoji... Read More →