Taarifa Mpya Za “Digital Diamond” Za Albamu Ya Iggy Azalea Hizi Hapa

Rapper wa kike anayetokea Australia “Fancy” rapper Iggy Azalea ameongelea ngoma yake mpya kutoka katika albamu yake ya “Digital Diamond” Iggy Azalea kupitia ukurasa wake wa twitter akitoa taarifa juu ya albamu yake inayokuja ya “Digital Diamond” Wakati akijibu maswali kutoka mashabiki, anasema ngoma ya kwanza kutoka itaitwa “TEAM” ambayo... Read More →