Watoto Wa P.quare Watembelewa Na Father Christmas Mapema Leo
Christmas imeanza mapema kwa watoto P.Square Peter na Paul ambapo father Christmas aliwatembelea leo asubuhi, baba yako akiwa mtu mkubwa father Christmas anakuja kuwatembelea nyumbani,. Wengine itabidi siku ya Christmas atakapokuwepo father Christmas ndio wazazi watawapeleka mkacheze na father Christmas. Merry Christmas & Happy New Year guys from salmamsangi.com Comments