Photos:2014 Pre-AMVCA Cocktail Party

Tazama mapicha hapa ya Cocktail Party ya Africa Magic Views Choice Award (AMVCA) iliyofanyika katika hotel ya Eko, Victoria Island huko Lagos ijumaa ya 7thMarch ikiwa ni utangulizi kabla ya ile shughuli yenyewe iliyofanyika jana jumamosi yta kukabidhi tuzo kwa washindi Host wa cocktail hiyo walikuwa Gideon Okeke pamoja na... Read More →