Justine Bieber Matatani Tena, Ni Baada Ya Ndege Yake Kuhisiwa Kuwa Na Bangi Ndani

Ndege Ya Mwanamuziki Justine Bieber Kwenye Ukaguzi wa police Mwanamziki Justine Bieber aingia matatani tena baada ya polisi kusachi ndege yake binafsi baada ya polisi hao kuwa na wasiwasi huenda atakuwa abeba bangi Ndege hiyo ilianza kusachiwa tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa New Jersey. Polisi waliendesha... Read More →