Waliohudhuria walienjoy Muziki Mzuri , Chakula poa Mandhari ya Hotel Ya Ledger Plaza Bahari Beach huku wakikutana na watu Wazuriii mahali pazuri, Bonge ya Party iliyokuwa imeandaliwa na kampuni ya Gonga Entertainment ilifanyika Jumamosi ya kuamkia Jumapili katika Hotel ya Bahari Beach
Pamoja na waliohuthuria pia Party hiyo ilipata bahati ya kuhudhuriwa na baadhi ya washiriki kutoka katika lile jumba la Big Brother wawakilishi kutoka Ethiopia Bim ,Bevely wa Nigeria na Mwenyeji wao Nando