Nchi Ya Angola ni moja ya nchi zilizojipatia uhuru wake toka katika koloni la wareno mwaka november 11, 1975 lakini ni nchi iliyomwaga damu sana kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwaka 2002. Nchi hiyo ni nchi yenye utajiri mkubwa sana wa Almas ikiongozwa na Rais José Eduardo dos Santos, kila November 11 Nchi hiyo inasherehekea uhuru wake na kwa hapa Tanzania Balozi ya nchi hiyo iliandaa sherehe hizo zilizofanyika katika hotel ya kimataifa ya Hyatt Regency Kempisk na kuhuthuriwa na mabalozi wengine wawakilishi kutoka nchi Mbali Mbali
Balozi wa Angola Hapa Tanzania Kitoa Nasaha usiku huo
Palikatwa Cake kuashiria Ushinda