
Jimmy Kabwe juma tatu ya wiki hii alimsuprise mke wake ziada Abeid Kabwa kwa Bonge ya Birthday Dinner lililofanyika katika Jengo la haiday Plaza RedOnion Restaurant Posta Dar Es Salaam.
mlo huo wa usiku ambao Jimmy Alimstukiza Baby mama wake Ziada ulihudhuriwa na marafiki na watu wakaribu sana na wawili hao
Hapa ni tukio katika picha
Gonga kichwa cha Habari kuona
