Unaambiwa ilikua ni vita ya masaa matano kati ya mamba na chatu ndipo chatu aliposhinda mchezo na kummeza kwa kutumia dakika kumi na tano Mambo huyo na kutokomea zake huko mbali.
Tukio hilo lilishuhudiwa katika ziwa Moondarra, karibu na mlima Isa Kaskazini mwa mji wa QueensLand na kunaswa kwa kamera na wakazi wa eneo hilo siku ya Jumapili.
Nyoka huyo mwenye urefu wa futi 10, alijipinda kwa Mamba na kuanza kupambana naye majini.
Tazama Tukio kuanzia mwanzo mpaka Mwisho
Chatu akionekana kuvishinda ita hivyo
Tukio la kumfanya kitoeweo baada ya kumuua
Chakula kitamu cha muda mrefu bila mawindo tena
Akitokomea kusikojulikana kwa mapumziko baada ya kazi nzito
picha: BBC