
Mtangazaji Wa Radio Magic Fm Dennis Ssebo WeekEnd Iliyopita amefanya Ziara Nchini Uhispania ambapo alipata nafasi ya kutembelea uwanja wa mpira wa Real Madrid pamoja na kupiga picha na baadhi ya wachezaji wakubwa wa soka Duniani,
Pamoja na jambo muhimu lililompeleka huko pia alipata kuona baadha ya kumbu kumbu za zamani katika uwanja huo ikiwemo Mipira ya zamani Jezi na viatu vya wachezaji
Tazama Picha Hapa
Aianza Hivi
Uwanja Wa Real Madrid
hapa akiwa Touring Santiago Bernabue
Ssebo Akiwa Na Morata mchezaji wa Real Madrid
De Gea Goal Keeper wa Man U
