
Miongoni mwa Mastaa waliofturisha mwaka huu ni pamoja na Mrembo anayeshikilia taji la miss ilala kwa mwaka 2003 na msanii kutoka bongo movie Nargis Mohammed.
Iftar hiyo iliyoandaliwa Nyumbani kwao maeneo ya Block 41 Jijini Dar Es Salaam ilihudhuriwa na marafiki zake wakaribu pamoja na familia yake ,Kwa kawaida Nargis huftusrisha kila mwaka ikiwa na Sadaka na kwa ajili ya Dua ya Marehemu Baba Yake ,
Iftar ya nargis ilikua ya tofauti sana na mastaa wengine waliotangulia kufturisha kutokana na kwamba Iftar yake ilipikwa Nyumbani kwao hapo hapo na si Kupikisha kama wengi tulivozoea likija zoezi la kufturisha
Na hawa ni Baadhi ya Mastaa waliokuwepo Wakiongozwa na Khadija Mwanamboka Ambaye hakutokea kwenye picha kutokana na kukwepa kwepa sana Picha
Tazama Picha
Mapocho pocho yakiandaliwa
Wadada mkekani tayari kwa kulicheza Draft, kulia ni Nasra na Hidaya Mbegu, Neema na Mama Hassan
Jasmine Mbegu
Mishie B
Baadhi ya Iftari ikiwa inaandaliwa, nilijisahau kulipiga Draft lote nilivoanza kunogewa, Mbaya zaidi nikawa mpakuaji kila anayekuja nipakuliee vile na mie nilijiweka kati kati ya mlo nilijutajeeeeee
Halima Kamusi nae kaandaa Iftar Kesho nyumbani kwakwe .
Nikoseeeeeeee
Hii juice ni mchanganyiko wa Ukwaju na papai jamani ni tammmmm mwe.
Maddam Glam Box, Bibie kaliteka jiji katika maswala ya mpuro wataka makeup professional wajua pa kumpata
Mie hupenda kumuita Mama Mchungaji, My sister July
Mama muandaaji Wa Iftar Nargis Mohammed, kitu cha 360 kama kimehusika hiviii? lol
She’S my mommy, love her always Sophia Byanaku
Clara mke wa kibwana matelephone binti hatare huyu katika maswala ya tumbo ndio mumuone kibwana anavyofutuka hahaha
Mamaa ya kurekebisha Tabia Za watu ilikuwepo Sintah.com
