Kama ulikua Unajuliza kwanini wasanii wakubwa wa nje wapo tayari kupiga picha za aina yeyote zikiwemo za utupu katika majarida mbalimbali basi kwa taarifa ni kwamba majarida hayo huwalipa kiasi kikubwa sana cha pesa,
sasa hapo piga hesabu ya Thamani ya msanii Rihanna kwa unavyomfahamu wewe alafu jiulize atakuwa kalipwa bei gani katika Picha Hizi Alizokubali kupiga Uchi wa Mnyama
Hizi ni picha zilizopigwa Hollywood Hills Marekani kwa ajili ya magazine moja ya Ufaransa ambapo RiRi aliicha wazi sehemu kubwa ya mwili wake.
miongoni mwa mastaa wa kike wenye nguvu duniani ambapo mwaka 2013 alishika nafasi ya 17 kati ya Wasanii 20 waliolipwa pesa nyingi sana kwenye muziki wanaoufanya huku nafasi ya 10 ikishikwa na Beyonce,nafasi ya kwanza inashikwa na Madonna huku ya pili ikichukuliwa na Lady Gaga.