
Ijumaa pale East 24 Mikocheni kwa kushirikiana na Kinywaji cha Windhoek Lager Bongo Movie Unit Walisherehekea miaka mitatu tangu kuungana kwao, kabla ya sherehe hiyo kwanza walitoa msaada wa vitu mbali mbali katika kwa wodi ya akina mama wajawazito katika Hospitali ya mwananyamala iliyopo jijini Dar Es Salaam.
Tazama Picha Hapa
