
Mkali wa ngoma ya “Niite Basi” na “Perfume” mkali Joslin mtoto wa Faya jijini Dar es salaam amemaliza kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa “Tesa Nae” akiwa amemshirikisha A.town honcho Hip Hop figure Stopa The Rhymecca ngoma ikiwa imefanyiwa katika studio za Legendary studio chini ya producer Davi Dizzle.
Video hiyo inategemewa kuanza kuonekana siku ya kesho Ijumaa 26 Septemba 2014 katika Tv stations mbalimbali. Pia itakuwa hapa kwenye salmamsangi.com.
Na hizi ni picha wakati wa utengenezajiwa wa video hiyo iliyotengenezw na kampuni mpya kabisa hii ikiwa ni kazi yao ya kwanza kampuni inafahamika kama Numark Production Director anaitwa OJ.
