Wewe unamtoto mmoja Unamiaka 27,28,29,30….. Hutamaniki.
Najua mtasingizia huko ni marekani na wana pesa hizo ni sababu za mtu aliyeshindwa, WATANZANIA TUNAVYAKULA BORA ZAIDI KUTOKA SHAMBANI NA MUDA WAMAZOEZI BILA GHARAMA, LAKINI TUWAVIVU NA TUNAPENDA KULA BILA MPANGILIO.
JIPANGE.