Pamoja na uzinduzi wa Video yake mpya ya No:1 aliyoitengenezea nchini Afrika ya kusini ikiwa imegharimu zaidi ya shilingi milioni Hamisi za kitanzania Msanii Diamond Platnumz pia amemzawadia Gari Msanii Mkongwe Muhidini Gurumo aliyestaafu kufanya muziki hivi karibuni kwa heshma na mchango wake katika sanaa hii ya muziki huku Masnii huyo wa kizazi kipya Diamond akikiri kuwa kuwepo kwakwe alipo leo ni sababu ya wasanii wa kongwe kama Gurumo.
Pamoja ya hayo lakini pia Diamond Alipiga Show kali matata ya wimbo wake huo mpya akiwa na Team yake ya Wasafi
2 Comments
Ungekua unaandika chini yapicha kutokana na matukio ili tuelewe uyo nani na anafanya nini
sawa wapendwa naandika poleni nisameheni