Polisi wa Los Angeles LAPD wanachunguza kitu ambacho kimeonekana sio sawa kwa niaba ya polisi waliopiga picha ya mkali wa ngoma ya I hit first Ray J. Picha ya hivi karibuni aliyopiga Ray J akiwa na polisi imepelekea polisi wa Los Angeles kuanza uchunguzi kuhusiana na picha hizo taarifa za TMZ zilieleza.
Ray J alirippotiwa kusimamishwa na polisi kwa kutumia simu wakati akiendesha kitu ambacho ni kinyume cha sheria katika jiji hilo, Polisi hao walimsimamisha na kuchukua leseni yake na registration kabla hawajajua kama anahusika na muziki. Polisi hao wakamtaka ashuke nje ya gari.
Ray J anasema alitaka alitaka kupiga picha na simu zao, baada ya hilo Ray J naye akataka wapige picha na simu yake, picha ambazo TMZ imezipata zinaonekana katika mitandao.
Toka LAPD imeanza uchunguzi kuhusiana na tukio hilo ni kwa sababu ni kinyume cha sheria kwa kile walichokifanya polisi hao.
Mwezi uliopita polisi wa Los Angeles walimshtaki Ray J kwa makosa 10 ikiwemo la sexual battery.
Polisi Wa Los Angeles Wanachunguza Picha Aliyopiga Ray J Akiwa Na Polisi
Related Posts
-
-
Safaree Bado Aendelea Kusisitiza Ameandika Nyimbo Nyingi Za Nicki Minaj
-
Video: Kizazi Cha Dot Com, Tazama Kitoto Hichi Cha Miaka Mitatu Tu Kinavyojibizana Na Mama Yake
-
Rihanna Mchezo Gani Tena huu??????
-
Cndy Akanusha Ku-suck Someone’s Baby Maker!
-
Meek Mill Amdiss Upya Drake! What,s Going Down?
-
Lupita Nyong’o Azidi Kuua Kwenye Magazine Covers