
Polisi nchini Marekani wamemtambua mtu anayetuhumiwa kumpiga risasi former C.E.O wa Death Row Records mkali SUge Knight, lakini hawana ushahidi wa kutosha ambao unawafanya wamkamate bado wanakusanya ushahidi zaidi.Suge Knight alijeruhiwa na risasi katika club ya usiku huko magharibi mwa Hollwood California kipindi cha Summer taarifa za TMZ zimeeeleza.
Polisi baada ya kuangalia security camera na kuongea na baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, polisi wanasema wana uhakika wamemtambua mtuhumiwa anayehusika lakini hawana ushahidi wa kutosha kumkamata.
Knight alipigwa risasi mara 6 kwenye club ya usiku ya 1Oak mapema asubuhi tarehe 24 Agosti mwaka huu, Suge Knight alikuwa ni mmoja wa majeruhi watatu na alikimbizwa hospitali ya karibu ambapo alifanyiwa upasuaji. Siku ilikuwa Chris Brown akihost party kabla ya tunzo za VMA tukio ambalo alikuwepo Tyson Beckford, Apple de Ap wa Black Eyed Peas na wengine.
TMZ baadae iliripoti kwamba Suge Knight na mashuhuda wengine walikataa kushirikiana na polisi katika uchunguzi kwa ajili ya tukio ili mtuhumiwa aweze kiutiwa nguvuni.
Katika mahojiano tofauti na network, Knight alionekana hajishughulishi na kutaka kumjua aliyehusika, alisema hata tukimjua haisadii kumjua aliyepiga risasi mimi niko fresh niko fresh ndo kikubwa kilichotokea kimetokea.
Muda mfupi baada shooting, Katt Williams aliongela tukio hilo na alisema alikuwa na Suge Knight usiku ule.
“Sasa kama wewe ni mjinga utadhani walimtaka Suge Knight, lakini Suge amefikiwa tu lakini Suge Knight anapatikana tu kila siku za maisha yake kwa miaka 20, tunajua ilipangwa ashootiwe nani, tunajua ameokoa maisha ya nani na tunajua kwanini hawaongelea kuusu hili” alisema William.
