Mara hii kama kachemka hivi? pamoja na kuwa ndio mwanamuziki wa kike anayekubalika zaidi Duniani katika kizazi kipya Kioja cha mara hii kimewachukiza mashabiki wake wengi mara baada ya Video hiyo ya “Pour It Up “kutupwa mtandaona na Mashabaki kupata nafasi ya kuiona
Mamia wameiponda Video Hiyo na kuiita ni chafu isiyokua na adabu hata kidogo Ambayo mapaka sasa imeshatizamwa mara milioni 16 tangu iingie Mtandaoni huku wanaharakati wakiomba itolewe katika mtandao wa youtube lakini zaidi wazazi wakishauriwa kuto waruhusu watoto wao kuitaza
Ubunifu Umevuka mipaka au Ndio Tusemeje?