Mtangazaji wa Magic FM Dar es salaam, kipindi cha Dala Dala Beats kipindi kinachosikika kila siku za Jumatatu mpaka Ijumaa saa 7 mpaka 10 jioni, Leo Ijumaa 17 Oktoba 2014 anaadhimisha miaka kadhaa toka alipozaliwa, Salmamsangi.com inamtakia Tj Maisha Mema na yenye mafanikio katika maisha yake!! The Word!! Keep Doing Yo Thang….