
Habari ipo hivoo…
Presidaa Prezzo akiwa katika picha ya pamoja na Wema pamoja na Kajala
Prezzo kashatua mjini na tayari kukinukisha pande za New Maisha Club leo usiku.
Mapozz ya picha muacheeee
Ndio: upigapo picha shurt kujiachia
New Maisha Club ndio sehemu ya kujiachia Leo usikose.
