Hawajazungumza Lolote Kuhusiana na ujio wowote wa ngoma na msanii TI wa marekani ambaye wameonekana naye sana lakini chanzo cha karibu na wasanii hapo kimesema wana ngoma wamefanya na Rapa Huyo TI na video iliyofanyika Atlanta Marekani
Mapacha Hao Pamoja Na TI Wakati Wa utengenezaji video Hiyo