
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Ni Miongoni Mwa Waliohudhuria Msiba wa Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa mambo ya Nje mwaka 1970 na pia Balozi wa Tanzania Nchini Urusi mwaka 1982 Balozi Isaac Abraham Sepetu Ambaye ndio baba mzazi wa Msanii Maarufi Wa Filamu Tanzania Wema Sepetu aliyefariki Jana kwa maradhi ya kiharusi yaliokuwa yanamsumbua kwa muda marefu.

Rais Dr.Jakaya Kikwete Akimfariji mjane wa marehemu Balozi Sepetu , anayeshuhudia ni Mkewe Mama Salma Kikwete Ambaye ameongozana nae.
