Msanii wa marekani Rihanna ametakiwa kuondoka nchi ya Abu Dhabi alipokua kwenye tamasha lake la Doiamond Tour linalozunguka Dunia nzima baada ya kupiga picha zinazotajwa kuvunja miiko na maadili ya nchi hiyo katika msikiti wa Sheikh Zayed Grand
Rihanna alivunja maadili ya nchi hiyo baada ya kupiga picha hizo na kuziweka katika matandao wake wa InstaGram akiwa katika pozi zilizotajwa kuwa si sawa kupiga muumin ukiwa msikitini ikiwemo ile aliyolala chini
hata hivyo Rihanna Alifanikiwa kumaliza Show yake siku ya jumapili ya october 20