
Baada ya miezi sita ya Rihanna ameungana tena na mashabiki wake wanaotumia mtandao wa Instagram.
The Bad gal riri zaidi anafahamika kama Rihanna I don’t give a f…. gal baada ya instagram kama ni biashara tunakosa, kwa sababu Rihana anawatu mulioni 13 wanaomfuatilia kwenye instagram, kwa mara nyingine Rihanna ameungana tena na mashabiki zake kwenye instagram.
Rihanna amerudi akaweka picha yake akaandika Hellurrr #badgalback.
Account ya instagram ya Rihanna ilifungwa mwezi Mei mwaka huu baada ya kupost sana picha utupu ambazo zilikuwa zinapigwa kw ajili ya kutumika na gazeti la Lui la Ufaransa..endelea kumcheck Rihanna kupitia @badgalriri
