Ule Mzimu unaomuandama Msanii Rihanna Baada ya kupost picha zake za utupu mitandaoni sasa unaonekana kuchkua sura nyingine baada ya hata vijana nao kujitokeza kumdiss kwa namna moja ama nyingine
Mara hii mtoto Wa moja ya msanii wa kundi la TLC, T.Boz Ameibuka na mumstop Rihanna kwa kile alichoita ni cha kipumbavu baada ya rihanna kutumia picha za kundi hilo wakiwa vifua wazi katika ukurasa wake wa tweeter
Hayo yanajitokeza ikiwa ni siku kadhaa tangu kundi hilo lilipomdiss Rihanna kuhusu kutumia picha za utupu kutangaza muziki wake jambo ambalo wasanii hao wa kitambo walidai hawakuwahi kufanya hivyo
Maneno Ya Mtoto Chase Kwenda kwa Rihanna